- Mkaza mwana wa Uhuru Kenyatta ambaye ni mkewe Jomo, ni mjamzito

- Fiona Achola alionekana katika pita pita akiwa mjamzito

Uhuru Kenyatta na mkewe Margaret Kenyatta wanatarajia kuitwa babu na nyanya kupitia kwa mwanao wa kwanza, TUKO.co.ke imefahamu.

Habari Nyingine: Jamaa mlemavu apokea msaada mkubwa kutoka kwa Rais Uhuru

Hii ni baada ya mkaza mwana wao wa kwanza aliyeolewa na Jomo, Fiona Achola kuonekana akiwa mjamzito.

Jomo na Fiona walionekana wakiwa na mama yao, Margaret Kenyatta pamoja na ndugu yao Jaba katika duka la Marula Manor.

Habari Nyingine: Pasta ‘mla kondoo’ aanikwa na mkewe!

Achola ni mpwa wake waziri wa usalama, Raychelle Omamo. Kama ilivyoripotiwa na TUKO.co.ke, Jomo na Fiona walifunga ndoa ya kitamaduni mwaka jana, Oktoba 22, 2016.

Read ENGLISH VERSION

Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri: mwangi.muraguri@tuko.co.ke

Subscribe to watch new videos

Chanzo: TUKO.co.ke

ncG1vNJzZmijmajEorTIpaBnrKWgvG%2BvzmeinmdiaoV5f5BmqZqho2LCqcHRrmSknZ6urrXAwGaYrZmilreqrYykrKaokamubrnJrqKurV2dtre1jKSYq6GSqruqecWipqeZXaO2brnJmqSzoaSke6nAzKU%3D